Deliverance Time (Muda wa Kufunguliwa Katika Vifungo Vya Shetani) - DISCIPLE'S MAKERS GLOBAL MINISTRIES

Breaking

DISCIPLE'S MAKERS GLOBAL MINISTRIES

Ratiba za Ibada Jumanne Hadi Ijumaa saa 10:00--12:00 Jioni na Huduma ya Maombezi Ukumbi mkabala na Shule ya msingi Rau KARIBU NA MUNGU AKUBARIKI SANA

Social Media Icons

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 27 April 2015

Deliverance Time (Muda wa Kufunguliwa Katika Vifungo Vya Shetani)

 Mtumishi wa Mungu #pastor titus dumi akimfungua dada huyu aliyekuwa amefungwa na vifungo vya shetani katika maisha yake ni wakati maombezi ikiwa ni wiki ya Kongamano la Maombi linaloendelea mpaka Jumapili ya wiki hii.Mungu amewafungua wengi katika Kongamano hili.


Kwa neno la kinabii mtumishi wa Mungu Pastor Titus Dumi alitaja shida iliyokuwa inamsumbua Dada huyu na kufunguliwa kwa Jina La Yesu

No comments:

Post Top Ad

Responsive Ads Here